Kwa Mlio Mwanza nina Gari Toyota Carina namba C iko ktk hali nzuri Sana
Nina Shida Muhim na kimfaacho Mtu chake Bei Ml 9 tu
Sihitaji Dalali
Alie Serious ani PM
Kwa maelezo zaidi
Hallo,
Kwa kipindi hiki Shule zimefungwa, nahitaji tuisheni Center ya Physics na Chemistry.
Naomba yoyote mwenye Kujua ni wapi naweza kupata tuisheni ya Masomo hayo
Kuanzia December(08 December...
Niwataarifu kuwa ninazo gunia 43 za vitunguu nimevuna wiki mbili zilizopita ni vile vya kuhifadhi muda mrefu. Nakaribisha wanunuzi wa Jumla. Namba ni 0715696920 au ni PM kwa maelezo ya ziada. Vipo...
Place an order for a slaughtered chicken and we will prepare them for you.We sell slaughtered chicken within Kisumu CBD.
To place your order or for enquiries contact 0704 886 932
Kuna miche mizuri ya matunda mbali mbali kama parachichi na epo nk inapatikana kwa wingi hapa njombe. Pia miche ya miti ya mbao inapatikana kwa bei nafuu.fika mtaa wa maheve njombe ujipatie kwa...
wadau kwa mwenye ufahamu wa eneo lolote linalokodishwa maeneo tajwa hapo juu, ani pm ili tuwasiliane, eneo liwe favourable kwa ajili ya biashara ya bar, kwa maana liwe na uwazi na lisiwe finyu...
wadau kwa mwenye ufahamu wa eneo lolote linalokodishwa maeneo tajwa hapo juu, ani pm ili tuwasiliane, eneo liwe favourable kwa ajili ya biashara ya bar, kwa maana liwe na uwazi na lisiwe finyu...
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali.
Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo...
Wanafunzi wa vyuo mbali mbali nchini Tanzania wanapata changamoto ya kuelemewa na gharama za maisha. Kwa sasa hivi mwanafunzi wa chuo ananunua kila kitu kwa bei ambayo mfanyakazi mwenye kipato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.