Gari aina ya rav4 inauzwa kuanzia m12 pungufu tunaongea.
Sifa zake:
1.4wd
2.ac
3.compressive insurance up to july 2015 (16m)
4.abs
5.radio/dvd
6.ingine,taili na vifaa vingine viko kwenye hali...
RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC.
Milioni kumi na mbili 12,000,000
PM kwa mazungumzo tafadhali
Nyumba inauzwa, kwa bei nafuu kabisa.
Mahali: Mikocheni A Dar es salaam.
Ina vyumba vinane, pamoja na frem moja ya biashara. Ipo pahal pazuri ni karibu kabisa na barabara. Ina choo cha nje cha...
Kiwanja nauza moshono nanja ni 25 kwa 24 bei ni kuanzia m17 na maelewano yapo na ukiacha hicho kuna kingine kipo olasiti ni 25 kwa 20 hiki ni m14.5 na maelewano yapo. Wahi maana ni hotcake na kama...
Nataka mabelo ya viatu tajwa hapo juu, au hata kama madela na nguo zingine za kike .Mimi ni mfanya biashara mchanga nataka kujiingiza kwenye hizi biashara rasmi ,naomba mnipe na changamoto zake...
Ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye kuwafahamu wapambaji wazuri wa kumbi za harusi anifahamishe.Mwaka huu nitaoa so nahitaji kujua gharama mapema ili nitengeneze tentative budget yenye at leat...
Kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 mpaka Hekari 2,kinahitajika...
Kiwe kwenye maeneo ya mjini (Kariakoo,Ilala,Kurasini jirani na town,Maeneo ya Posta -city centre,Upanga...
Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia.
Shukrani
Jumia is Tanzania's number one online shopping destination where you can shop the widest selection of electronics, fashion, home appliances, kid's items and more in Tanzania and have them shipped...
Lete matajiri wa kununua plot,shamba,viwanja na ulipe vizuri.viwanja vina ukubwa wa ft 50 kwa ft 40 bei ni 2,500,000/=.Utalipwa laki 2 kwa mauzo ya eneo tajwa.
Hivyo kadri tajiri atakavyo double...
Kiwanja kwa ajili ya makazi au biashara kinauzwa, kipo Pugu Buyuni manispaa ya Ilala, njia ya kwenda Chanika.
Kimepimwa, kina hati, ukubwa 967 sequre meter, bado hakijabadilishwa jina kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.