Njoo tushirikiane kujikomboa na kuongeza kipato kimaisha kupitia kampuni yetu

juniour12

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
407
375
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali.

Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa Brella na ina valid documents zote ambazo kampuni inatakiwa kuwa nazo...Eg TIN,VAT,CERTIFICATE OF INCORPORATION,TRADE LICENSE.

Kampuni ina jihusisha na Printing eg. Calendar,t-shirts, diaries, kwa kifupi all promotion materials. Pia tunahusika na kusupply office and stationery materials.Pia tunafanya Branding.

Sasa basi kwa kutumbua hapa JF kuna watu ambao ndio mtaji wetu ili kuweza kupiga hatua Tuna kukaribisha tushirikiane kwa kutafuta kazi then tugawane nusu kwa nusu faida itakayo patikana.

Unaweza pitisha kazi kwenye kampuni yetu pia kwa makubaliano maalumu ambayo wote tutaridhia.

Lengo ni kampuni kupata kazi nyingi na kuzifanya kwa ustadi ulio tukuka ili tujitangaze kwa haraka...Sisi hatuna influence za kupata kazi nyingi kutokana na mazingira tuliyopo.

NB.Kampuni ina ofisi na Working Capital+Nguvu kazi, Tunacho hitaji ni ushirikiano ili wote tunufaike mleta kazi na kampuni...Naomba tuwasiliane PM kwa maswali na uthibitisho wa nilivyo andika hapa.Sizani kama ni jambo jema kuweka documents za kampuni hapa.

Shukrani....Tushirikiane kwa kusaidiana, najua kuna watu wenye influence ya kutupatia kazi na kushirikiana nao.
 
Naomba nije kuwa Marketing& Sales manager kwny kampuni yenu, hiyo faida nusu tugawane as my salary
 
Naomba nije kuwa Marketing& Sales manager kwny kampuni yenu, hiyo faida nusu tugawane as my salary

For the time being hatuna uwezo wa kumlipa mtu full time that's why tunahitaji watu wenye uwezo wa kutafuta kazi na kutuletea tugawane faida.
 
Nina kitabu changu kina pages 500, nataka kuki print kwenye A5 pages, good cover and binding. Ni kimoja tu...nipe quotation yako.
 
Back
Top Bottom