Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo,
Kwa kipindi hiki Shule zimefungwa, nahitaji tuisheni Center ya Physics na Chemistry.
Naomba yoyote mwenye Kujua ni wapi naweza kupata tuisheni ya Masomo hayo
Kuanzia December(08 December 2014)
Tuisheni iwe Maeneo ya Ilala/Mwenge/city centre/Magomeni/Buguruni/K'koo. Especially Mzizima/zanaki/Kisutu/Jangwani na Azania.
TafAdhali Kama ---- Mtu anayeweZa kunipa maelekezo sahihi wapi ntapata tuisheni/Mwl. Mzuri, Ntashukuru.