Wakuu hbr zenu,kwa yeyote anayejua kuhusu upatikanaji vitofari hivi vidogodogo vya kuungana(interlocking blocks),pamoja na bei zake, au muuzaji anijuze no yangu 0657617861.
Wadau kiwanja kinauzwa jirani kabisa na chuo kikuu cha dodoma upande wa ng'hong'hona.
Ukubwa: kinakaribia nusu heka
Bei: Mil 6 -Maelewano yapo.
Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi...
Kiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa 40,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme imesimikwa jirani kabisa na kiwanja,kipo kwenye maeneo ya makazi ya watu...
kiwanja na nyumba hiyo haviko mbali na barabara kuu ya kwenda itobo na kipo kwenye hali nzuri ya kuridhisha kabisa!
bei ni 22 million
kwa mawasiliano zaidi na kuweza kuiona nyumba hyo nicheki...
Kuna maeneo mazuri sana kwa makaazi,shule,mashamba,ufugaji,chuo zinauzwa yapo ilala Msongola ...wahi kuchukua ya kwako kipimo ni kuanzia 40ft kwa 50ft bei ni 2.5 milion unaweza kununua tani...
The online remittance services established in 2013 by the People's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd) in collaboration with a UK company called WorldRemit for the purpose of enabling Tanzanians in...
Wadau kiwanja kinauzwa Tegeta Nyaishozi, jirani na Nyamachabesi Bar. Ukubwa ni sqm 800, bei ubwete meza ya mazungumuzo iko wazi. Kimepimwa na kina document zote za msingi. Kwa mawasiliano piga...
Pikipiki aina ya fekon namba C ni yangu simu imeshindwa Kuupload pic ipo katika hali nzuri sana haijawahi kufunguliwa injini zaidi yakumwaga oil tu na nimebadilishwa tail la nyuma tu bei 900,000...
Njoo nikuuzie NOKIA ASHA 310 ambayo ni smartphone poa sana na ipo katika hali nzuri. Ni screen touch, na haina tatizo lolote.
Mawasiliano 0768932789 au 0659528724.
Karibu......
Noah ya biashara inahitajika hapa hapa Dar es salaam mwenye nayo anisaidie kuniajiri niwe namletea hesabu kwa siku 30,000/= lkn makidhiano lazima yawepo zaidi namba yangu Ni 0714064767
Kuna viwanja vingi huku Mbezi beach mil 30 nakuendelea, pia hata maeneo ya Salasala mitaa ya benako ninavyo vingi sana huko ni bei chini ya mil 15 unapata ukubwa 30 *40 nakuendelea
Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.