Nauza gari yangu

Nauza gari yangu

mtugani wa wapi huyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
1,239
Reaction score
1,477
Kwa Mlio Mwanza nina Gari Toyota Carina namba C iko ktk hali nzuri Sana
Nina Shida Muhim na kimfaacho Mtu chake Bei Ml 9 tu
Sihitaji Dalali
Alie Serious ani PM
Kwa maelezo zaidi
 
ImageUploadedByJamiiForums1417519125.879009.jpg
 
Kama upo serious weka information zote zijitosheleze..
 
Mkuu Hii Gari niliagiza Mwenyewe ni Gari ambayo iko vzr
Niki Serious nina jambo limenibana siwezi lianika Hadharani
Ila mwenye kuhitaji ani PM
Nadhani hatutoshindwana
 
unapatikana mwanza sehemu gani niletee hapa plasma niione km vp njoo na kadi tumalizane kabisa
 
Back
Top Bottom