Wapi nitapata Laptop nzuri

Wapi nitapata Laptop nzuri

Inaitajika laptop kwa ofa ya 300000! Ram isipungue 2gb, hd 300.

HP inapatikana DAR , window 7. 4gb ram, 500gb, HDD, dual core 220GHZ , BETRI HAIKAI SANA NA CHAJI lakini unaweza ukapata sehemu yeyote bei tsh 360,000.00 TEL 071265211O
 
Nipm mkuu uongee na muuzaji moja kw moja laptop ipo bei laki mbili na nusu ina mwezi tu
 
0712505049 whats app kwa mapicha
 
HP inapatikana DAR , window 7. 4gb ram, 500gb, HDD, dual core 220GHZ , BETRI HAIKAI SANA NA CHAJI lakini unaweza ukapata sehemu yeyote bei tsh 360,000.00 TEL 071265211O

Sawa ntakucheki
 
Na mimi naunga kwenye huu uzi jamani mi nahitaji laptop SONY VIO ya blue au maroon yenye specification za maana manake mi sio mtaalam wa hayo mambo ila ikipatikana itahakikiwa na mtaalam wangu ofa yangu 350000/ -400000/.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom