Nahitaji eneo biashara ya bar, maeneo ya Kinondoni au Mabibo

Chagga King

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,823
1,043
wadau kwa mwenye ufahamu wa eneo lolote linalokodishwa maeneo tajwa hapo juu, ani pm ili tuwasiliane, eneo liwe favourable kwa ajili ya biashara ya bar, kwa maana liwe na uwazi na lisiwe finyu, pia liwe exposed sehemu yenye mishe mishe, kamisheni ya kidalali ipo.
 
Back
Top Bottom