Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kipo Goba, kina ukubwa wa mtsq 1300, kimepimwa na kina hati. Bei ni milioni 25.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kwa wale wataalam kuhusu mambo ya utengenezaji wa simu za galaxy, simu yangu imekufa screntouch,anayefahamu pakuipata au anayo naomba anijulishe tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Karibuni sana! Brazilian weaving original 100% human hair zinapatikana na unatumia bunda moja tu kusuka! kustyle, unaiseti,au kuipasi,and hata kuitong!bei nafuu sana!karibuni wote wadada na hata...
0 Reactions
91 Replies
25K Views
Maonesho ya kimataifa ya elimu yamesogezwa mbele hadi taraehe 17-21 ilikukidhi maombi ya watoa huduma ya elimu kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu waweze kushiriki, haya yatakuwa maonesho ya...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Ni Huawei mediapad, bado mpya, RAM 1GB, CPU Dual core 1.6GHZ, Internal memory 8GB, Screen size 7 inch. Bei ni 260,000/= Nicheki: 0688206680 Nipo Dar. Picha zimezingua wakuu ila unaweza nicheki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
PS 2 slim mpya ambayo imechipiwa inatumia flash na CD inauzwa 250,000 ipo na accessories zake zote Kama wire memory pad na flash ya 8 gb nicheki 0688 206680 nipo dar
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Bado ni mpya ina mwezi mmoja tu. Bei 120,000/=. Nipo Kigogo Fresh Dar es salaam. Nitafute: 0756525889
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa wale ambao wako kwenye kazi za kitaaluma na utafiti, kutakuwa na kongamano la kitaifa kuhusu Jiografia na Maendeleo Endelevu litakalofanyika Chuo Kikuu Kishiriki Mkwawa (MUCE) mnamo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tayari mtanzania mmoja ameshachomoka na zawadi ya Gari, naanza kuwa na imani, angalia hapa chini, http://www.beforward.jp/campaign/2014xmas#!/entry/8118730 nawe unaweza kufuatia, tujaribu muda...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mawasiliano whatsapp tu picha na bei yake 0757555777
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DR TAYE, Mtaalamu wa tiba asili, anadawa za nguvu za kiume na kuongeza uume saizi upendayo, dawa za kutoa makovu na madoa na mistali ya ngozi nakuwa soft. Dawa za kutoa uvimbe bila kupasua. Dawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jumapili.Nataka kujiajili je ni wapi wanauza material za kutengenezea kadi za mialiko ya harusi na sherehe mbali mbali..computer ninayo pamoja na printer.Tatizo ni zile material design...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyetayari kuuza gari ZURI kwa kiasi hicho please, weka picha na specs za hilo gari na ulipwe cash bila usumbufu wowote. Amabatanisha na teatures zake:- Year/ Kilometres/...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Inauzwa bei yani ni sh 200,000 maongezi yapo wasiliana nami kwa namba hizi 0754297298
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Tuna karibisha watu wenye makampuni/taasisi wanaopenda kutangza biashara zao kupitia kalenda zao,kuwa tunapokea kalenda za mwaka 2015 kwa ajili ya kudisplay katika hoteli zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu mana jf mimi ninamzigo wa kutosha wa madini ya opal yanarangi ya asali yana hali ya kunatanata kwa yeyote anayeweza kujua wanunuzi walipo tafadhali awasiliane...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kati ya X2-01, E72,E63 nna elf 40 tu. 0755914977 NNAKUPA NA NOKIA 105 nzma kabisa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani wana jf,naombeni msaada wa soko la Majogoo wa Kienyeji na Mayai ya Kienyeji. Jogoo :Bei = 15,000/= @1 Mayai :Bei = 10,000/= @Trei 1. Mawasiliano:0716043808 Email:Jamesmatafi5@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viwanja vyenye ukubwa wa ft50 kwa 40 ft vipo tele Ilala na Temeke Dar bei ni 2,500,000 tu.Vipo kisewe na Msongola Dar.Wahi wakati huu bei ni afadhali!.Wasiliana nami kupitia namba...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nauza sumsung gallaxy s2 ipo vizuri haina tatizo nimeitumia miezi miwili bei tsh.220,000 kama upo tayar nicheki 0716385824.
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Back
Top Bottom