Maliza matatizo yako yote

Maliza matatizo yako yote

Joined
Nov 29, 2014
Posts
5
Reaction score
0
DR TAYE,

Mtaalamu wa tiba asili, anadawa za nguvu za kiume na kuongeza uume saizi upendayo, dawa za kutoa makovu na madoa na mistali ya ngozi nakuwa soft. Dawa za kutoa uvimbe bila kupasua. Dawa za kushep na kupunguza tumbo na kuongeza hps. Dawa hizi ni bora na zenye uwezo wakufanya kazi haraka na hazina madhara yoyote mana ziweandaliwa kitaaramu zaidi toka MALAWI na zimetumiwa nawatu wengi. Tiba zingine za kijadi zinapatikana, mawasiliano piga simu no 0719876669/0755711666
 
Mmetimuliwa mitaani sasa mmehamia humu.
Kuna magazeti ya udaku mmejaa hadi nafasi za kuandika habari nyingine hakuna.

Halafu jua Mungu anawaona ndio maana hata mfanye miaka mia maisha yenu hayabariki.
Eti unajiita Avatar la Kinaijeria ili watu wajue Mnigeria.
Duuuh,hivi mashamba ya kulima yameisha au ndio wote mmekimbilia mjini kwa style hii ya Uganga.
Jamani siku hizi mmekuwa wengiiii hadi mnakera,watu wameona bora wakaombewe makanisani kwa mzee wa Upako.
Wenzio wamesajiliwa pale Muhimbili Kitengo maalum
 
Mara ooh unaunganisha watu na free mason,mara unangangua humu utachemsha hakuna mazuzu.
 
Mkuu usiwaite wenzake..Waliopo ITM ni watu wanaojielewa,sio huyu anaeleta maelezo kana kwamba sisi ni majuha

Kanywe na ndugu zako
 
Mara ooh unaunganisha watu na free mason,mara unangangua humu utachemsha hakuna mazuzu.
Aisee,mkuu kumbe jamaa unamfuatilia.Inamaana anajifanya naongeza CV yake.
Wananifurahisha sana wanapojiita majina ya kina Nigeria.
Mie namshauri afanye kazi nyingine sio hii ya laana za mungu,waliofanikiwa kuibia watu ni wale walioanza zamani kabla hawajastukiwa,na wao laana zamungu zinawaandama hakuna hata mmoja mwenye la maana,Zaidi ya kudata na maisha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom