MAANAX Member Joined Dec 9, 2012 Posts 36 Reaction score 2 Dec 7, 2014 #1 Bado ni mpya ina mwezi mmoja tu. Bei 120,000/=. Nipo Kigogo Fresh Dar es salaam. Nitafute: 0756525889
Bado ni mpya ina mwezi mmoja tu. Bei 120,000/=. Nipo Kigogo Fresh Dar es salaam. Nitafute: 0756525889
Neutral catalyst JF-Expert Member Joined Oct 10, 2013 Posts 261 Reaction score 147 Dec 7, 2014 #2 Weka picha mkuu..Afu ni original au clone? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,519 Reaction score 94,155 Dec 7, 2014 #3 Litakuwa Clone ilo made in hu jintao au xi ji ping.
MAANAX Member Joined Dec 9, 2012 Posts 36 Reaction score 2 Dec 7, 2014 Thread starter #4 original lain moja
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,548 Dec 7, 2014 #5 Japo S3 ni ya muda kidogo, lakini S3 original kwa 120k naweka wasiwasi mkubwa kwenye ubora wake.
R Robby junior Senior Member Joined Nov 9, 2014 Posts 106 Reaction score 7 Dec 7, 2014 #6 S3 120 hiyo kopi