There are a number of cloud service providers, and cloud server hosting companies whose advertisements and mailers will lure you to avail their services. However following very few basic aspects...
Kiwanja kinauzwa, kipo majohe, kimepimwa na kina hati/title deed. Kina ukubwa wa sqm1,150.
Bei ni Tzs 15m tu.
Kwa mawasiliano tuma meseji kwa inbox yangu.
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye...
Habari zenu wakuu
Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....
kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa...
Wakuu Tv tajwa hapo inauzwa nilinunua 24/11/2014 niko hapa Moshi bahati mbaya nimepata uhamisho kikazi kwa hiyo nauza vitu vyote.
Pia nauza Subwoofer sea Piano-SP 513.
Bei Led Tv ni 580000/- mimi...
Hii ni part ya our Christmas And New Years offer pata logo kwa tsh.30,000/= hii ni punguzo la bei of about 1/3 uki-compare na logo designers wengine....Additional Offer the FIRST FIVE customers...
Habari ya kazi waungwana, Nina kiwanja changu kilichopo Goba Mtambani kimepimwa na kina hati miliki, kina ukubwa wa 756 sq m2 Kipo karibu na Barabara yaani Goba Center, Umeme upo Jirani hakuna...
Ktk pitapita za hapa na pale nikakutana na hii app, unachagua huduma unayotaka, then inakuchorea ramani wapi inapatikana jijini Dar es Salaam.
Unaweza ukaipata hapa...
Wakuu kwa wale ambao Bado wanahitaji simu tajwa hapo juu Bado zmebakia mbili. Bado mpya pamoja Na vifaa vyake kwenye box lake. Tafadhali waweza Ni pm kama wahitaji.
Kama unashida ya kuingiza data, ku analyse data umeweka kwenye excel, kupata result baada ya kubadilisha data zako,
ni PM tujadiliane.
Kila utahitaji msada wangu utalipia Tsh 10,000 na utapewa...
nitashukuru sanawadau kama nitapata chuma cha 5m chenye sifa zifuatazo;liwe toyota, liwe linanusa mafuta, lisiwe chini sana na bodi iwe poa na ngumu, liwe la mwaka 99 kuja mpaka 2011, pia liweze...
HABARINI WADAU NAUZA LAPTOP AINA YA HP NOTEBOOK 2000 IMETUMIKA MWEZI 1 SABABU YA KUIUZA NIMEPATA SHIDA YA GHAFLA
SIFA ZAKE
RAM 4GB
HARD DISK 500
PROCESSORS 2.40 INTEL CORE i3
BADO INA...
Mwenye hiace anitafute aniajiri kama dereva wake hapa Dar nifanyie kazi pande za gongolamboto to chanika Hesabu kwa siku 50,000/= kwa wiki 250,000/= piga 0714064767
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.