Jamani naomba msaada kwa anayejua matajiri wanaonunua madini aina ya opal

YONA PASCAL

Member
Jan 28, 2013
20
45
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu mana jf mimi ninamzigo wa kutosha wa madini ya opal yanarangi ya asali yana hali ya kunatanata kwa yeyote anayeweza kujua wanunuzi walipo tafadhali awasiliane nami kwa namba zifuatazo 0752013455

Mda wote niko hewani asanteni karibuni natanguliza shukrani kwenu wote mtakaochangia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom