Wapi nitapata vifaa vya kutengenezea kadi

sexy bubble

Senior Member
Mar 29, 2014
156
22
Habari za jumapili.Nataka kujiajili je ni wapi wanauza material za kutengenezea kadi za mialiko ya harusi na sherehe mbali mbali..computer ninayo pamoja na printer.Tatizo ni zile material design naweza tunga msaada please jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom