Huawei Tablet for sale

Huawei Tablet for sale

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
Ni Huawei mediapad, bado mpya, RAM 1GB, CPU Dual core 1.6GHZ, Internal memory 8GB, Screen size 7 inch. Bei ni 260,000/=

Nicheki: 0688206680 Nipo Dar.

Picha zimezingua wakuu ila unaweza nicheki whatsapp kwa namba hiyo.
 
inasoma mkuu

Unaweza kupiga na kupoteza simu? Sababu kuna zingine ni kwa ajili ya data tu, mfano kuna iPad zenye kutumia Sim Card ambazo ni kwa ajili ya data tu.
 
Unaweza kupiga na kupoteza simu? Sababu kuna zingine ni kwa ajili ya data tu, mfano kuna iPad zenye kutumia Sim Card ambazo ni kwa ajili ya data tu.

hii unapiga na kupokea mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom