Nzega Yetu Kwanza
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 306
- 137
Kama kichawa kinavyojieleza mwenye nayo aweke picha na detail zake zote hapa na contact zake.Gari Iiwe Dar es salaam ili nije kuiona na kuikagua.
Karibuni.
Karibuni.
Kama Kichawa Kinavyojieleza Mwenye Nayo Aweke Picha Na Detail Zake Zote Hapa Na Contact Zake.Gari Iwe Dar Ili Nije Kuiona Na Kuikagua.Karibuni.
Milango 5.Rav 4 ipo milango 3,dark blue iko bomba sana,no.A...body yake safiii...!
nicheki 0755 927881 nikutumie pichaa...!
You mean Rav 4
Milango 5.
5 doors kwa 6M utangoja sana kaka.
Unayo? Unauza Ngapi?
never ever a parked car, kitachokukuta hakuna rangi utacha ona.Ipo rav 4 milango 5, manual,namba A, gari mwenyewe kaipaki, wewe ni kuchukua na kupiga service mwendo mdundo
Kuipaki haimanishi ni mbovu mkuu gari ni nzima jamaa yangu huwa anaipiga start siku moja moja,never ever a parked car, kitachokukuta hakuna rangi utacha ona.
nunua gari ambayo ipo barabarani hata kam aina hali ya kawaida.
huweiz jua aliyepaki ameipaki kwa sababu imemshinda kutenegenza!
Anaweza pata mkuu usimkatishe tamaa kikubwa ipo kwenye hali gani5 doors kwa 6M utangoja sana kaka.
Unayo? Unauza Ngapi?
Mimi ningekushauri uagize mwenyewe utaifaidi !things to note je una kiwanja /nyumba mkuu??manake kila siku sasa lazima uingie sheli..sec km unaaagza hiyo offer yako ulioweka hapo ni hela ya ushuru tu..clearing argent kina sele pale hujawatoa ,matairi hujajua km yakoje..jipinge vizurii nitakupa mwongozo..