Nauza Smartphone Tecno R7 Bei rahisi

Nauza Smartphone Tecno R7 Bei rahisi

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
607
Reaction score
495
Habari wana Jamii Forums.

Ni nauza smartphone Tecno R7 iliyotumika miezi sita kwa bei ya tshs laki mbili na elfu ishirini (220,000/=) maelewano yapo. Imepasuka kidogo kioo ila inatumika vizuri sana.Gharama za kuweka kioo kipya ni elfu themanini.Sababu ya kuuza nimepata simu nyingine mpya.

Kwa anayetaka ani Pm
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    63.8 KB · Views: 583
Nipo Dar na hii simu ndo naitumia muda huu kuaccess internet ipo vizuri na iko fast.

Kwa anayehitaji aniPM

Habari wana Jamii Forums.

Ni nauza smartphone Tecno R7 iliyotumika miezi sita kwa bei ya tshs laki mbili na elfu ishirini (220,000/=) maelewano yapo. Imepasuka kidogo kioo ila inatumika vizuri sana.Gharama za kuweka kioo kipya ni elfu themanini.Sababu ya kuuza nimepata simu nyingine mpya.

Kwa anayetaka ani Pm
 
Bei yake ikiwa mpya ni laki tano na nusu

Kama hauhitaji haina haja kuandika utumbo wako hapa legend07
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jamii Forums.

Ni nauza smartphone Tecno R7 iliyotumika miezi sita kwa bei ya tshs laki mbili na elfu ishirini (220,000/=) maelewano yapo. Imepasuka kidogo kioo ila inatumika vizuri sana.Gharama za kuweka kioo kipya ni elfu themanini.Sababu ya kuuza nimepata simu nyingine mpya.

Kwa anayetaka ani Pm

laki na nusu haraka tuu nakupa ni pm
 
kumbe utumbo unaandikwa this is advanced technology ##bg_dg_dy
 
Call me,Monday morning if you're serious
 
Ok neba first thing Monday morning I'll call you. Thanks for the business it's my pleasure.
 
Last edited by a moderator:
kwa anayehitaji tecno r7 smartphone nyembamba km iphone6 ni ya kisasa. bdo iko sokoni jamaa hakutokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom