ona huyu naye anavyoropoka. we ukiskia silinda sita mavwi yanagonga chupi eeh?ndugu Gx mia nani anunue?iyo utakufa nalo
ndugu Gx mia nani anunue?iyo utakufa nalo
wabongo umaskini tumeuzoea mpaka sasa umegeuka na kuwa tabia,unaogopa 6 cylinder utaendesha lamborghini v12