Natafuta gereator 7kva - 17kva

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
Wana JF natafuta generator used lilolo kwenye hali nzuri kwa ajili ya kununu a kukodisha kwa mwenye nalo naomba aweke tarifa zake hapa na naweza kuliona

Generator linatakiwa liwe liafanya kazi vizuri
 

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
7kva - 17 kva in generator ya kawaida for domestic use or small business
 

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
sina uhakika sana ila mtaalamu ameniambia ni 7kw-17kw kwa matumizi yangu
 

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,119
Generator ya 10kva kama siyo kiwanda au unaendesha mashine kubwa kubwa inakutosha. Epuka za kichina kama unataka kununua.
 

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
nashukuru sana kwa ushauri ndio mana nataka used wapi naweza kuipata nzuri na kwa bai gani ukinipa diraction nitashukuru
 

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
Members je wapi wanauza used generarot za size hio kwa maeneo ya dar na na morogoro
 

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
ThX King Kong III hiyo uliyo ni offer ni kubwa sana kwa matumizi yangu maximum size should be 17kW
but nashukuru kwa kuonyesha nia ya kunisaidia
 

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
Mkuu ni nani amekushauri ununue generator la ukubwa huo, kuna jamaa wanauza hizo mashine lkn pia wanatoa ushauri, sasa wanakuja kwenye ofisi yako na kuangalia vitu ulivyonavyo kisha wanakushauri aina ya mashine pamoja na kukufungia , suala la used achana nalo cheap is expensive ni bora tukuunganishe na wataalam ukapata k2 cha uhakika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom