Rejea hio tittle hapo juu, gari aina ya Suzuki Carry 4WD inahitajika, kwa yeyote anayejua mahala pa kuipata kwa bei nafuu kidogo anakaribishwa, it's urgent need.
umepata carry tunazo bei zetu ni mzuri.Kuna Jirani yangu anaiuza yake kwa 5mil, namba CPL but sio 4WD