Napenda kuwatangazia uwepo wa nafasi za vitanda kwa wanafunzi wa jinsia ya kike tu! Kwa maana ya Hostel! Eneo Mwenge, Nyuma ya Oil Com. Chumba kikubwa kina double deck Tatu Yani watu 6 viko viwili na vyumba vitatu vina double deck mbili watu 4 kuna chumba cha kujisomea japo vyumba vina nafasi Ya kujisomea bei 70 - 75,000per month per head Maji yapo ful time karibu na vyuo vyote eneo la mwenge
Wasiliana nami: 0752 886 866
Wasiliana nami: 0752 886 866