Habari wakuu, nauza simu tajwa hapo juu, imetumika kwa muda wa miezi mitatu, iko katika hali nzuri kabisa, sababu ya kuiuza ni kuwa nimepata simu nyingine,specifications zimeineshwa kwenye screen...
Ninawakaribisha Katika Chuo Cha "Mlima Wa Neema" Kilichopo Ruaha Kilombero. Baadhi Ya Kozi Zinazofundishwa
1. Misingi Ya Wokovu
2. Misingi Ya Kiroho
3. Misingi Na Kanuni Za Utumishi
4...
Viwanja hivi vipo tambalale , na ni vizuri vinakatwa kwa ajili ya makazi miguu 50 x 50 , kwa bei ya 4m. vipo vikindu kisamvule , mkuranga Pwani . ni mwendo wa km 16 kutoka mbagala rangi 3...
Wakuu,
Nauza viwanja bei rahisi sana , vipo eneo la Cheka Kigamboni ni mwendo wa 15km toka mji mwema. vipo umbali wa mita 700 kutoka baharini na mita 200 kutoka barabara kuu. vimepimwa kuna sqm...
Habari zenu wadau..
Naitaji ofisi space ya sqm25 ivi
au sehemu nzuri ya kufanyia ofisi maeneo ya mwenge,
kinondoni au morroco ivi
ni pm kama available space ipo
KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA ZA MRABA 1844 ( area 1844sm) , kiko Mbweni Malindi ( Dar es Salaam) Block C kinauzwa. Bei ni 150M.
Mawasiliano: 0762367836.
Shukrani.
Toyota Brevis 2002 inauzwa - 11.5Mil (new) imeagizwa kutoka Japan. Gari linapatikana katika yadi zetu na gari lipo katika hali nzuri ya ubora kabisa. Gharama hii inajumuisha kila ktu -vehicle...
Kiwanja kinauzwa Mbezi Msakuzi barabara ya kwenda Mpijimagoe kituo cha daladala ni Freetown (Pilikapilika) mita100 kutoka kwenye barabara, umeme ni wa kushusha waya, sio nguzo na kuna barabara za...
Habari wanajamii,
Kuna mtu anafahamu lodge yoyote iliopo karibu na stendi ya mkoa ya Moshi ambayo gharama yake ni around 15,000 - 20,000.
NTASHUKURU MKINIHABARISHA
Nauza mayai ya kwale kwa bei ya 20000 trey na 15000 kuanzia trey 10.Napatikana Dar es salaam na mwanza.
Mawasiliano 0715881870au 0756933156
Karibuni sana
Wana jamvi naomba msaada wa kuwaweza kupata mashine ya kupukuchua mtama,uwele na mahindi kama nilivyoeleza hapo juu.Je,naweza kununua wapi na bei yake.
Naomba mawasiliano yawe wazi hapa javini ili...
Jee unauza nyumba ya kawaida, ghorofa, apartments kiwanja au kupangisha nyumba? Wasiliana na Kampuni ya CPM Business Consultants ili ikutafutie wateja. Kampuni ya CPM Business Consultants...
Jamani kuna siku humu jamvini niliomba maelekezo ya Hotel za mjini Morogoro kwa mapumziko, bahati mbaya niliondoka hewani ghafla na zoezi halikufanikiwa (kuna vimatatizo vilijitokeza), nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.