mwangambaku
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 109
- 22
Viwanja hivi vipo tambalale , na ni vizuri vinakatwa kwa ajili ya makazi miguu 50 x 50 , kwa bei ya 4m. vipo vikindu kisamvule , mkuranga Pwani . ni mwendo wa km 16 kutoka mbagala rangi 3. tuwasiliane 0755 099 291
bei milioni 4. tu! havijapimwa lakini tayari watu wameanza kujenga na wanaishi wana leseni za makazi
bei milioni 4. tu! havijapimwa lakini tayari watu wameanza kujenga na wanaishi wana leseni za makazi