Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza pikipiki za toyo maalumu kwa ajili ya kubebea mizigo. Zipo mbili Moja ina engine ya cc200. Inakwenda kwa mil 2.5mil Na nyingine ina engine ya cc 250..hii inatumia radiator. Ina nguvu...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari za leo ndg zangu. Natafuta kifaa hicho. Kwa anayeweza kuniuzia au kunielekeza tafadhali ninaomba msaada wenu kwa PM. Baraka kwenu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Box ni XPLOID speakers ni PIONEER double Bei ni tsh 120,000 (negotiable) ipo ktk hali nzuri, Dar es salaam Kwa mawasiliano 0717149646 (tuma sms)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niinbox kama kuna gari unaihitaji nikupe taarifa zake zaidi..
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari Kama title inavyoojieleza; Litre ya diesel 1,545 free transport kuanzia litre 200 na kuendelea Kwa DSM pekee. NB:Kama tutaingia ktk continueos delivery bei itapungua kulingana na order ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
KWA WALE MAFUNDI WA KUDARIZI PATA VITAMBAA VYA KUTENGENEZA NGUO ZA BAZEE KWA BEI NAFUU. UNALETEWA POPOTE ULIPO HATA KAMA NI MOJA ...10yard na 5yard Rejareja 50000 kwa yard 10 na 25000 kwa yard...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau kuna mshkaji wangu anataka kumu engage mchumba wake ijumaa . Nataka hotel au restaurant ama sehem nzuri hapa dsm . Mwenye kuweza kunisaidia ningefurahi. 10pax only. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anayeuza Adapter ya HP pin nene ani~PM niko na shida nayo.
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Pata green tea with ganoderma lucidum kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini, kubalance pH ya mwilini, kupunguza uzito wa mwili na pia kuna product nyingine inasaidia kuondoa kiu ya ulevi na sigara...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tunatoa huduma ya kuandika katiba za NGOs na makampuni na pia tunaandika mikataba ya makampuni. Bei yetu ni nafuu sana. Tuwasiliane kwa simu: 0752238263, email: hoseabenjamin88@gmail.com.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwe IST, forester, x trail, escudo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza flash za kisasa amabzo unaweza kutumia kwenye smart phone yako kuhamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye flash bila kutumia usb cable,kuplay nyimbo na video kutoka kwenye flash kupitia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Nahitaji kununua iPad ya 200,000 tu. mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0762443526. Iwe original na specification za ukweli.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji lens aina ya Canon 50mm F1.8 au Yongnuo 50mm F1.8 (Canon mount),iliyotumika kidogo lakini ni nzima haina scratch/mikwaruzo wala fungus,nipo Dar Es Salaam,Mob 0655 585 490,ukiwa nayo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sepon limited unakupatia huduma za solar zitakazokupatia umeme muda wote, Yanini kusumbuka na Luku wakati nguvu ya nishati ya jua ipo? tunakufuata popote ulipo kwa gharama nafuu zaidi. Tunatoa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi nina kipaji na taaruma nzuri ya kutengeneza mavazi aina ya tshirt kwa ajiri ya muziki na sana za bongo. wasanii wanao tengeneza video nauzo wa kutengeneza logo mbali mbali kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza simu tajwa hapo juu price 160000 /= maongez yapo ipo katika hali nzuri Ila inatumia pain ya tigo guy(haijaflashiwa) 0718776676 text/WhatsApp/viber.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wadau..!? Ninazo simu mpya kabisa iphone 6plus hazijawahi kutumika na ni factory unlocked pia kuna iphone 5 na 4s hizi zimetumika kidogo sana na hazina hata mikwaruzo sababu ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ina vyumba nane vinne master leseni ipo ni ya kuinua (renewing) vifaa vya ndani hakuna. sh 35000000 Dalali hatakiwi. Picha nitaweka baadae. Pia Kisima kipo cha kusafisha kwa power compressor...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Microsoft LUMIA 535 Dual SIM Windows Phone 8.1 8GB Storage with MicroSD 5MP front camera 5MP rear camera with LED flash Black color In extremely good condition with box and original accessories...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom