Wana jamvi naomba msaada wa kuwaweza kupata mashine ya kupukuchua mtama,uwele na mahindi kama nilivyoeleza hapo juu.Je,naweza kununua wapi na bei yake. Naomba mawasiliano yawe wazi hapa javini ili iwe faida kwa wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.