Nahitaji line za uwakala wa tigopesa, mpesa na Airtel money, kwa yeyote mwenyenazo au anamfahamu mwenye nazo na anauza, naomba ani pm. Napatikana mkoa wa morogoro.
Item: Hitachi 12 inch IC/ Transistor Colour TV Receiver
Description: Model C1460FN Code 192. Rated Voltage 110v-240v. PAL/SECAM/NTSC4.43. 12 inch screen
Made in Japan.
Year: 2004
Condition: Used...
Kiwanja kipo sehemu tambalale na kizuri , survey tayari imefanyika na taratibu zingine zinasubiri . kipo umbali wa 23km kutoka feri , karibu na apartment za akbari kipo karibu na barabara kuu...
KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI,
ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY Tupo
Kinondoni mkabala na mahakama
KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA AU TUMA UJUMBE WhatsApp
0754 895 321
Item: Panasonic NV-MD10000 "PAL" Mini DV Camcorder
Description: Professional Camcorder (PAL) CCD: 1/6 x3 CCD - 540k. Offers shoulder-mount stability and connects to a PC for computerized editing...
Toyota Spacio ya mwaka 2002 inauzwa
Iko Iringa! Kilometer 14500. Bei Tsh Ml. 6.
Iko katika hali nzuri! bei inaweza kushushwa.
More info. Call 0713 560 587
Samahani picha imeshindwa kuapload...
habar wana jf
nauza simu twaja hapo juu, iko vzur kimuonekano na hata kiufanisi wa kazi.
kwamaelezo zaidi tembelea hapa => http://www.gsmarena.com/samsung_i8190_galaxy_s_iii_mini-5033.php au...
Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa huduma ya kuwaandikia vitabu watu maarufu kama vile Wanasiasa, Wasanii, Wanamuziki ambao wangependa kuwa na vitabu vya historia zao.
Faida ya kuwa na...
Ni ya mwaka 2008,4cylinder manual,cc 1999 bei 32m na kama atatokea mtu wa kubadilishn naye fresh but iwe classic kama yangu, picha chini hapo na kwa mawasiliano 0768359292
Natafuta shamba la kununua liwe maeneo ya iringa mjin au vijiji vinavyouzunguka mji wa Iringa mjini. Nahitaji shamba lenye ukubwa kuanzia eka 2 na kuendelea. Kwa yeyote anauza shamba lenye sifa...
Nahitaji shamba la kununua, liwe ndani ya mji wa iringa au maeneo yanayozunguka mji wa iringa. ukubwa wa shamba ni kuanzia eka 2 na kuendelea. Kama unauza shamba maeneo hayo unaweza kuni PM kwa...
.Huongeza nguvu za kiume
.Huongeza CD4
.Hutibu vdonda vya tumbo
.Hutibu shinikizo la damu
.Huondoa Kitambi
.Kisukari
.Tumbo kujaa gesi
.Anemia
.Asma
.Usagaji wa vyakula 2mboni
.kutunza kumbukumbu...
Nauza kuku wa nyama ni wa kisasa, wametimiza wiki 5 sasa, bei ni 4500@ mmoja, wako 280, napatikana kitunda machimbo dar es salaamu.
Nicheki 0714495367 na 0768859089.
A nice apartment is available at Upanga, having three bedrooms, four washrooms, pool, generator, gym, fully furnished, quite environment, and good location.
To view please call 0784225000 or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.