Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Ninawakaribisha Katika Chuo Cha "Mlima Wa Neema" Kilichopo Ruaha Kilombero. Baadhi Ya Kozi Zinazofundishwa
1. Misingi Ya Wokovu
2. Misingi Ya Kiroho
3. Misingi Na Kanuni Za Utumishi
4. Namna Ya Kumwona Mungu
5. Kukaa Na Kuishi Na Mungu Siku Zote
6. Namna Ya Kudumu Ktk Ushindi Kila Cku
7. Kanuni Za Kuanza/kuanzisha Huduma/kanisa
8. Tabia Na Utendaji Wa Huduma Za Kiroho (Utume, Unabii, Ualimu, Uchungaji, Uinjilisti). Lakini Kumbuka Hakuna Mipaka Ya Somo, Hayo Ni Baadhi Tu. Kwa Wale Waliokuwa Na Kiu Ya Kumtumikia Mungu Sasa Huu Ndio Wakati Wako, Hasa Vijana Maana Mungu Anasema "Mkumbuke Muumba Wako Wkt Wa Ujana Wako" Na Pia Anasema "Nimewaandikia Ninyi Kwa Sbb Mna Nguvu Na Mmemshinda Yule Mwovu" KARIBUNI WOTE