Viwanja vinauzwa bei poa, vipo Kigamboni

Viwanja vinauzwa bei poa, vipo Kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Wakuu,

Nauza viwanja bei rahisi sana , vipo eneo la Cheka Kigamboni ni mwendo wa 15km toka mji mwema. vipo umbali wa mita 700 kutoka baharini na mita 200 kutoka barabara kuu. vimepimwa kuna sqm 700, 600, 906, 1034,800, 921, na 937 . bei ni 5,500/= kwa sqm 1.

Tuwasiliane
Tom estate agent
0657 14 55 55
Kinondoni A
Dar Es Salaam.
 
samahan kwa swali langu ambalo naulizaga weng wanaodeal na mashamba na viwanja, Je vina hati au offer?
 
nashukuru leo nimeuza kimoja
 
vimebaki vichache wakuu karibuni mpate maeneo kwa ajili ya ujenzi
 
wakuu nimeshusha bei ya viwanja vyangu sasa nauza 5,200 kwa sqm 1 karibuni
 
Vina hati???
Wakuu,

Nauza viwanja bei rahisi sana , vipo eneo la Cheka Kigamboni ni mwendo wa 15km toka mji mwema. vipo umbali wa mita 700 kutoka baharini na mita 200 kutoka barabara kuu. vimepimwa kuna sqm 700, 600, 906, 1034,800, 921, na 937 . bei ni 5,500/= kwa sqm 1.

Tuwasiliane
Tom estate agent
0657 14 55 55
Kinondoni A
Dar Es Salaam.
 
Vina hati???
vipo kwenye mchakato wa hati , bado kuweka details za mnunuzi ambaye ni wewe , baada ya hapo hati inatoka kwa jina la mnunuzi , hatua za awali zote zimekamilika upimaji pamoja na mchoro . nadhani umenipata
 
vimebaki viwanja 4 wakuu karibuni sana ,
 
Viwanja vinakaribia kuisha wahi tufanye biashara 0657145555
 
Viwanja vimebaki vitatu wakuu jumamamosi ya tufike kwa wingi tuvimalize kwa ajili ya makazi bora
 
kimebaki kimoja tu cha sqm 906 bei ni Tsh 5200 kwa sqm 1 nicheck kwenye 0657145555
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom