mimi ninalo liko kwenye hali nzuri. bei itapungua kidogo
View attachment 232014
mimi ninalo liko kwenye hali nzuri. bei itapungua kidogo
View attachment 232014
kaka Wile GAMBA angalia tairi hizo, sport za ukweli, bei ya tairi na rim zake peke ni zaidi ya milioni. hilo 404 la ako wangu ndo bei inapungua sana tu.aiseee! ni pinguzie kidogo
Nitakujulisha.....kuna jamaa analo lakini halijalipiwa road licence miaka tisa.yeye analitumia ki alwatan na anajuwa madhara yake ndio maana analiuza
Iyoo hela kupata gari ni Ngumu utapata kimeo. Endelea kuchanga changa upate nzuri zaidi.
hiyo gari nzuri ila sijapaona kwa mbele mm naona mpe alichonacho mkononi hata 2.5 maana kuna pikipiki zinavuka 2.5View attachment 232030Ongeza laki mbili chukua gari hiyo