Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,600
Jamani kuna siku humu jamvini niliomba maelekezo ya Hotel za mjini Morogoro kwa mapumziko, bahati mbaya niliondoka hewani ghafla na zoezi halikufanikiwa (kuna vimatatizo vilijitokeza), nataka kuresume ratiba.
Naomba kwa wale waliotoa maelekezo yao na wengine wenye kujua wapi niende wanisaidie kunielekeza. Hope nitapata ushirikiano wenu wana jamvi.
Naomba kwa wale waliotoa maelekezo yao na wengine wenye kujua wapi niende wanisaidie kunielekeza. Hope nitapata ushirikiano wenu wana jamvi.