Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Truck and trailer inauzwa, ipo safi inatembea, bei maelewano. Mawasiliano 0756337479
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwekezaji anahitaji maeneo makubwa, Kigamboni,Bagamoyo na Kibaha. Lengo ni kupima viwanja kujenga na kuuza. Hivyo mwenye eneo anaweza kuuza au kuingia ubia. Kwa mawasiliano piga.0773 944 944.
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Two storey semi finished house with 4 self contained bedroom, 1 en-suite, office/ study room, big living room, kitchen and 2 garages on 1475 Sqm plot with clean tittle deed. Located at Bunju A...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipo mpakati mwa cheka na ndege , kinaukubwa sqm 937 , kipo umbari wa 2km toka maji ya bahari na umbali wa 800mita toka barabara ya lami. bei ni 5m. kimepimwa na kipo sehemu ya makazi ,kipo karibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLAC KBERRY IPHONE 4,4S,5,5C,5S,6,6+NK HUAWEI Y530,Y520,Y330,Y300,Y221,Y220, Y200 JUST FOR 9,000/= MPESA.(DAKIKA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
machine ya ujenzi inauzwa,starting Tsh 90M,maongezi ili kupata maji ya kunywa yapo,call no 0713228915 au 0784228915
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50 mahali Kimara Bonyokwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lenovo Mini Laptop Processor : 1.86Ghz Core 2 Duo Ram:4Gb HDD:160Gb Operating System: Windows 7 WiFi and Bluetooth connectivity Three USB Ports,HDMI Port Very light laptop with Good display and...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Natanguliza shukraan!! Wakuu naomba kujuzwa ni wap nitapata water filter zile ndogo ambazo zinaweza kuchuja kati ya lita 20-30 kwa siku!! Yahitajika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani!! Kama...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Good Friday is the mirror held up by Jesus so that we can see ourselves in all our stark reality, and then it turns us to that cross and to his eyes and we hear these words, "Father forgive them...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kwa mwenye uhitaji na Galaxy S5 basi huu uzi ni mahala pako sahihi kabisa! Mzigo nilionao ni Galaxy S5 lakini small version yake maarufu kama S5 mini. So, sifa zote za S5 zipo kwenye hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha tunapata muda wa kuwa pamoja na wana Dudumizi, timu nzima ya Dudumizi Technologies LTD inatarajia kuandaa siku ya Dudumizi, yaani Dudumizi Day. Siku hii itakuwa ni wakati pekee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wadau. Ninauza gari yangu Landrover 110 station wagon, diesel engine, inatembea ila inadaiwa kwa miaka mitatu kiasi cha tsh 930,000/= Bei ni tsh 5,000,000/= Gari ipo Mtwara na...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Kijana wangu wa katibu anatafuta chumba maeneo ya kinondoni. Viwe viwili kimoja kiwe self. Urefu wake ni 150.000/= Kama una dalali au wewe ni tuwasiliane .
0 Reactions
3 Replies
903 Views
Habari! Napenda kutoa nafasi kwa wahitaji wa vyumba safi, vyenye usalama na huduma ya maji. Vyumba vipo Kibo Ubungo na kuna choo ndani, nje sehemu kubwa ya kupika, kuweka mkaa, ndoo za maji na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu jamvini!! Ninaomba mwenye uzoefu na shughuli za trekta kama kukodisha, kubebea mizigo ama kukodisha kwa kilimo tuwasiliane tafadhali. Nimenunua trekta aina ya Ford 7500 2wd lipo kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Friji, sofa ya watu wawili vinauzwa. Maeneo ya tabata Bei ni nafuu sana, na .imaelewano. friji imetumia miezi 8. sofa ya viti viwili miezi 6. Pia nyumba inauzwa ipo tabata relini. Ina vyumba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu jamvini!! Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara.. price iwe fair kidogo jameni
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Kuna nafasi za kazi katka grocery mpya maeneo ya sinza. malipo mazuri na ni makubaliano. Kizuri zaid kuna chumba cha kupanga ready kwa wahudumu. Tafadhal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…