Nahitaji simu hizi, Huawei y300 na Tecno H6

Nahitaji simu hizi, Huawei y300 na Tecno H6

vanmedy

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
2,704
Reaction score
1,410
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara..
price iwe fair kidogo jameni
 
price yako ipoje

Kiongozi.. mara zote muuzaji huwa na bei elekezi...
BY THE WAY MY BUDGET IS AROUND 100k .. for a mobile phone yenye immaculate condition
 
jina lako linanitisha ila kuna kilo kwa hiyo h6
 
h6 chukua laki kamili

Mkuu ungeanzisha uzi wako... usiniROB basi hii kitu.. sasa imekuwa wewe ndio unashida nayo kuliko mimi nliyeona haja ya kuulizia humu..
 
Mkuu ungeanzisha uzi wako... usiniROB basi hii kitu.. sasa imekuwa wewe ndio unashida nayo kuliko mimi nliyeona haja ya kuulizia humu..

Acha uboyer kwan ww umelipia bei gan hl tangazo?JIHESHIMU
 
Acha uboyer kwan ww umelipia bei gan hl tangazo?JIHESHIMU

Kuna watu vichwa vyao vimejaa funza..wewe ni mmoja wao.. MTOTO WA KIUME UMEKAA KIMIPASHO...unamjua boya wewe!?.
Sasa kama unajua kuweka tangazo humu ni bure, kipi kinachokuzuia nawe usiweke lako!?.. peleka taarabu zako mbele huko.. can't argue with a fool.. pathetic
 
We c kihande tu mchimbwa mav,
 
We c kihande tu mchimbwa mav,

Ahsante .. naomba mungu akuongeze uwezo wa matusi .. akujaalie hata ukifika wakati wa kifo chako uwe ni mwenye kutukana matusi ya nguoni hivyohivyo.
SINA MJADALA TENA NA WEWE FANYA UNALOJISIKIA SITAKUJIBU HATA.. good thing nishajua wewe ni mtu wa aina gani..
 
Back
Top Bottom