Duh!
Aise wewe ni mtunzaji balaa!
Yani tangu vita ya kagera hili lori bado unalo tu.
Big up sana.
Hili jukwaa ni la watu makini, kuwa mstaarabu na biashara za watu ndugu.
nasikia wakati wa vita 79 walikua wanabeba nyama na hhiii lori
Watu kama nyie mnakula bure,mnalala bure kwa shemeji zenu!
Kazi yenu ni kuongea ujinga ujinga tu!
Mwenzako anatangaza biashara, wewe unaandika ujinga ujinga!kaa kimya waachie wanaotaka kununua!sio kuleta utani kwenye vitu serious..
JF sio level ya watu kama nyie,nyie ni Facebook huko na Insta.
Rudi huko,tuachieni JF yetu.