Galaxy S5 Mini (Used) ipo Sokoni kwa Bei Poa!

Galaxy S5 Mini (Used) ipo Sokoni kwa Bei Poa!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Kwa mwenye uhitaji na Galaxy S5 basi huu uzi ni mahala pako sahihi kabisa!

Mzigo nilionao ni Galaxy S5 lakini small version yake maarufu kama S5 mini.

So, sifa zote za S5 zipo kwenye hii mini, tofauti ikiwa ni the later ni portable, easy to carry and flexible inapokuwa mkononi!

Mfano wa sifa zake:

Water proofing, fingerprints sensor, heartbeats detector.

Sifa zingine: RAM 1.5 GB, Storage 16 GB, SD card up to 64 GB.

Simu inauzwa kwa Tshs. 450,000 tu. Give me a call on 0657 15 19 38. Napatikana Dar.

Karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom