Bize Bize
Member
- Nov 27, 2012
- 29
- 9
Habari zenu jamvini!!
Ninaomba mwenye uzoefu na shughuli za trekta kama kukodisha, kubebea mizigo ama kukodisha kwa kilimo tuwasiliane tafadhali.
Nimenunua trekta aina ya Ford 7500 2wd lipo kwa hali nzuri. Ni used toka Denmark...
Lakini pia kama kuna mtu angependa kununua trekta naweza kuliuza bei ni Tshs. 25m.
Tuwasiliane kwa moddyguyz@yahoo.com ama whatsapp 0787519910. Ni-whatsapp nikutumie picha!!
Natanguliza shukurani....