Habari zenu wadau,
Nina Tsh. 320,000/= natafuta Smartphone nzuri iwe used au mpya lakini iwe kwenye hali nzuri bado.
Brand: Huawei, Sony Experia, Samsung Galaxy..
Kipo wilaya ya Ilala Dar es salaam. ni 1km toka barabara kuu. kipo Pugu eneo linaitwa mbuyuni, hati ipo na bei kinauzwa 16m . ni tambalale kimenyooka. kwa mahitaji ya kiwanja hiki au vingine vingi...
wana jf,nimeamua kujiajiri baada ya msoto kwa muda mrefu,ajira niliyoijoin ni kufanya biashara ya kokoto nyeusi,-(ngumu),bei cubic meTer 1 ni 90000 na 7tone ni 350000,niko dar,ofice iko machinga...
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale
maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya
tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao
naomba anijuze. shukrani wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.