Nyumba inatafutwa maeneo ya Kinondoni

Nyumba inatafutwa maeneo ya Kinondoni

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Kijana wangu wa katibu anatafuta chumba maeneo ya kinondoni. Viwe viwili kimoja kiwe self.
Urefu wake ni 150.000/=
Kama una dalali au wewe ni tuwasiliane .
 
Ni mrefu kiasi hicho? 150.00 ni cm, ft, meter au nini?
 
Back
Top Bottom