Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gallxy note2 original inauzwa,kwa bei ya kuelewana...ina wiki moja tangu itolewe dukan ipo katk hali nzur sana...kama unaitaka ni pm au chek mi 0714250626/0757470207
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Nauza bata mzinga wakubwa wanakaribia kutaga na ni tayari kwa nyama wako 8 waliobaki jike 6 na dume wawili kwa Tshs 175000 kwa mmoja. Ahsante
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Tafadhali naomba mnisaidie kujua bank ambayo inatoa mikopo ya masharti nafuu, maana baadhi ya benki zinatoza riba kubwa vilevile repayment period inakuwa fupi sana.
0 Reactions
30 Replies
19K Views
Natafuta shughuli za kufanya kwa trekta baada ya msimu wa kulima
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viatu vya kimasai bei ya jumla ni shilingi ngapi na vinapatikana wapi?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nchi 32 brand sumsung l.e.d,bajeti yangu tsh 450000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta aparment maeneo ya Mikocheni. Two bedrooms prefered bei 1m maximum.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wadau napata wapi Kanzu nzuri kwa hapa Dar hasa Wilaya ya Kinondoni..
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wanajamii kwa wale wanaohitaji hii huduma wafuate uzi huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika miezi 6 tu hapa nchini. ina sifa zifuatazo mitsubish double cap, pik up. manuel transmition, full air condition , new tires , engine size 2.5 cc dieasel , model 4D56 of 2002 bei 18.5m...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza mafuta ya Nazi 0658318938 asili kabisa natengeneza mwenyewe karibuni mls 100 kwa sh 5000 / mls 70 kwa sh 3000 kuanzia chupa 3 nakuletea ulipo dsm
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Used trekta toka Denmark linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri hali nzuri halijafanya kazi hapa kwetu Tanzania. Kwa anayelihitaji aniwhatsapp kwa 0787519910 nimtumie picha.... Shukurani wadau!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear colleague, We now have SILVER and GOLD generation; the old rule is changing and giving space to the new rule and principle. The big pool of SILVER and GOLD generation creates their new...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari wana JF, Tunakodisha gari aina ya Toyota Coaster yenye vitu vifuatavyo; - Inabeba watu 28 - Air Conditioner(AC) - Video - Comfortable seat. Gari inaweza kukodiwa kwa matumizi...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Yeyote anayehitaji ardhi ya Kupanda miti ya mbao au mashamba yenye miti ya mbao, yaliyopo mkoani njombe awasiliane nasi kupitia namba hizi 0785879515, 0657657765, 0758355218, 0714565878
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Nauza line za kufanyia M-Pesa, Tigopesa na Airtel Money. Bei ni Tshs 1m. PM kwa maelezo zaidi..
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Line ya tigopesa mpesa na airtel money kwa laki sita
0 Reactions
6 Replies
1K Views
usinipe hela nipe mzigo wa viatu,fremu ninayo,nipige kazi nakurushia hela tena unani2mia mwingine tena nauza,utanipa na bei yako mi nitajua jinsi ya kuuza ili na mie nipate faida,nicheck whatsapp...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napamba kwa bei poa kabisa kuanzia laki 5, name Viti vya maharusi na wage I waalikwa unapata Burr kabisa hadi Viti 200 vya waalikwa vya kisasa. Mawasiliano 0655441943 Anglia sample za mapambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu inauzwa ipo katika hali nzuri simu piga 0753005497. Imetumika kwa muda wa miezi 3. Maelewano yapo.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom