Lenovo Mini Laptop
Processor : 1.86Ghz Core 2 Duo
Ram:4Gb
HDD:160Gb
Operating System: Windows 7
WiFi and Bluetooth connectivity
Three USB Ports,HDMI Port
Very light laptop with Good display and...
Natanguliza shukraan!!
Wakuu naomba kujuzwa ni wap nitapata water filter zile ndogo ambazo zinaweza kuchuja kati ya lita 20-30 kwa siku!! Yahitajika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani!! Kama...
Good Friday is the mirror held up by Jesus so that we can see ourselves in all our stark reality, and then it turns us to that cross and to his eyes and we hear these words, "Father forgive them...
Kwa mwenye uhitaji na Galaxy S5 basi huu uzi ni mahala pako sahihi kabisa!
Mzigo nilionao ni Galaxy S5 lakini small version yake maarufu kama S5 mini.
So, sifa zote za S5 zipo kwenye hii...
Katika kuhakikisha tunapata muda wa kuwa pamoja na wana Dudumizi, timu nzima ya Dudumizi Technologies LTD inatarajia kuandaa siku ya Dudumizi, yaani Dudumizi Day. Siku hii itakuwa ni wakati pekee...
Poleni na majukumu wadau. Ninauza gari yangu Landrover 110 station wagon, diesel engine, inatembea ila inadaiwa kwa miaka mitatu kiasi cha tsh 930,000/= Bei ni tsh 5,000,000/= Gari ipo Mtwara na...
Kijana wangu wa katibu anatafuta chumba maeneo ya kinondoni. Viwe viwili kimoja kiwe self.
Urefu wake ni 150.000/=
Kama una dalali au wewe ni tuwasiliane .
Habari!
Napenda kutoa nafasi kwa wahitaji wa vyumba safi, vyenye usalama na huduma ya maji. Vyumba vipo Kibo Ubungo na kuna choo ndani, nje sehemu kubwa ya kupika, kuweka mkaa, ndoo za maji na...
Habari zenu jamvini!!
Ninaomba mwenye uzoefu na shughuli za trekta kama kukodisha, kubebea mizigo ama kukodisha kwa kilimo tuwasiliane tafadhali.
Nimenunua trekta aina ya Ford 7500 2wd lipo kwa...
Friji, sofa ya watu wawili vinauzwa. Maeneo ya tabata Bei ni nafuu sana, na .imaelewano.
friji imetumia miezi 8.
sofa ya viti viwili miezi 6.
Pia nyumba inauzwa ipo tabata relini.
Ina vyumba...
Habari zenu jamvini!!
Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa...
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara..
price iwe fair kidogo jameni
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Kuna nafasi za kazi katka grocery mpya maeneo ya sinza. malipo mazuri na ni makubaliano. Kizuri zaid kuna chumba cha kupanga ready kwa wahudumu. Tafadhal...
Gallxy note2 original inauzwa,kwa bei ya kuelewana...ina wiki moja tangu itolewe dukan ipo katk hali nzur sana...kama unaitaka ni pm au chek mi 0714250626/0757470207
Tafadhali naomba mnisaidie kujua bank ambayo inatoa mikopo ya masharti nafuu, maana baadhi ya benki zinatoza riba kubwa vilevile repayment period inakuwa fupi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.