Kipo mpakati mwa cheka na ndege , kinaukubwa sqm 937 , kipo umbari wa 2km toka maji ya bahari na umbali wa 800mita toka barabara ya lami. bei ni 5m. kimepimwa na kipo sehemu ya makazi ,kipo karibu na mradi mkubwa wa magorofa ya akbari , tuwasiliane 0657145555