Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana jf,mmi nimtafiti na mwandishi wa vitabu vya ujasiria Mali na inspiration books,je unafahamu kipaji cha mtoto wako?,na je unaamini kipaji cha mtoto wako kinaweza kumsaidia kumpatia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza htc one m8 copy,bdo mpya kabsa bei 160000..kama uko interested nitext 0757569232
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Natafuta mtu wa kushare naye office...maeneo ya survey ESAP,opposite mlimani city Villa's..kodi ni laki sita including services....kwaiyo tunagawana nusu......anyone interested send me a private sms.
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Nyumba 2 za kawaida kwenye kiwanja cha ukubwa wa eneo mraba mita 30 kwa mita 20 INAUZWA TShs. 30m ILIVYO: 1. Nyumba ya vyumba 3 na sebule 2.Nyumba ya 2 iko nyuma ina vyumba 3 kimoja ni self(choo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu mimi Lukelo Sakafu nimefungua kitengo maalum cha kutoa ushauri nasaha kwa wote wenye matatizo na kuhitaji ushauri yakinifu. Kama unataka ushauri wa kibiashara,mapenzi na ndoa,kazi /...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza modem ya Tigo bei 18000 nitafute 0659626782
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Sqm 800.kimepimwa.kina hati.serious buyer SMS 0787123085
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Habari wakuu...nina samsung galaxy s5 genuine. Ipo in very good condition..imetumika for 1 month..haina tatizo lolote..nakupa na all its accessories. #kama kuna mtu ana smartphone nzuri yenye...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Habari zenu, Kama kichwa habari hapo juu, Nauza ukumbi wa sherehe na shughuli mbalimbali, Ukumbi huu haujamalizika umefikia kwenye lenta, nilijenga kwa ajili ya wapenda mpira, ukumbi upo kibaha...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Huawei y530 inauzwa ina mwezi mmoja mkononi mwa mtu Bei 180000. Kwa anaehitaji 0718445857 Mahali Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Kiwanja kizuri kinauzwa Kibaha... Size=20*20 Price=2.5 Kipo jirani na barabara, ni.mwendo wa dk5 kwa miguu! Miundombinu yote km umeme, maji, barabara vipo Eneo kimejengeka sana! Muuzaji ni jamaa...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Nauza simu samsung galaxy S3 black used with fully accesories. Price 330,000/= Nipo dsm,pm for business BASIC SPECIFICATION OS- Android 4.3 jelly bean Display-4.8" super Amoled CPU-Quad-core 1.4...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Tafadhali kama unayo, weka offer yako hapa au inbox.
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Tumeingiza mzigo mpya wa matrailer, matrailer mapya kabisa aina ya Nursan na Serin. Ubora wa matrailer haya unaweza kupakia container za futi 20 mbili kwa pamoja na futi 40 moja. Breki zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta Toyota IST ya dark bluu, pia kama sio rangi hiyo yoyote. Mtu anayeuza Toyota 1ST anitafute.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Nnatafuta laptop, Iwe: -na uwezo wa touch -4gb ram au zaidi. -500gb hdd iwe core i5 au zaid -nyembamba -na uwezo wa kukaa na chaji masaa 2 au zaidi. Kama unayo nicheki pm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wale wanaomiliki hotel sasa nawasogezea huduma nzuri ya kupata nyanya, vitunguu, carrot na hoho vikiwa ni fresh kutoka shamba. Nakuletea mpaka eneo ulipo bila kucharge gharama ya usafiri. Nyanya...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau kuna mti mkubwa sana aina ya keleptas unauzwa maeneo ya sanawari bei utaongea na mzee ukifika. Ni mti unaoweza kutoa mbao nyingi sana za milango na furniture zingine za ndani. Kwa maelezo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa tangazo la kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Habari! Natafuta gari ya kununua ya aina tajwa hapo juu bei tutazungumza. Niko Mwanza hivyo Walioko Mwanza na maeneo jirani watapewa kipaumbele. Angalizo; Gari iwe katika ubora na uzima wa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom