Model Huawei Y530
Rangi ni nyeupe.
Ipo na charger yake
in verry good condition
Nipo Mikocheni
Bei 150,000
kwa kuona picha nichek whatsapp 0715553166. sms zote zitajibiwa
ghfsk
For sale inauzws Huawei ascend y330 ni used imetumika wiki 2 tu UK. ni kama mpya haina michubuko ni simu na chaji tu bei Lakini moja 100.000tshs niko posta Dar. Nipigie 0672156295 Ahsante.
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
Wakubwa shkamoon wadogo poa...
Mimi kwa sasa nimepanga maeneo ambayo kwa kweli sipapendi kwani kwanza nlipangia shida sasa nataka kuhama nihamie maeneo kama ubungo au tabata....
Kwa anaejua eneo...
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gari aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Miaka isiwe chini ya 2005.
Kiwanja chenye ukubwa wa futi 50 kwa 40 kipo Msongola inauzwa kwa bei poa ya 2.2 million tu,Inauzwa bei rahisi kwa sb mwenyewe amepata matatizo.Kipo Msongola Ilala barabarani kabisa.
CONTACT...
Jamani natafuta kioo cha iphone 4, kiwe kipya au used ningependa uweke na bei yako kabsaa, au hata mwenye kua nayo yenye apple id lakini kioo kiwe kizima .
Natanguliza shukrani
Hello rafiki na jamaa na wandugu woote leo nawaletea product ya kiasili kabisaa kwa wanaume ambao ama wamekumbwa na tatizo la nguvu za kiume (Erectile Dysfunction) au wameshindwa kutungisha...
LIPO KATIKA ENEO ZURI , KARIBU NA BARABARA GARI INAFIKA BILA SHIDA YOYOTE , ANATAKIWA MNUNUZI ILIYE NA UWEZO WA KUNUNUA SHAMBA LOTE YAANI HEKARI 16 KWA 40,000,000/= MAWASILIANO 0657145555...
Ni Techno H6 kwa shililng 170k, Techno P5 kwa sh 140k na Huawei Y530 kwa sh 170k.
Mzigo ni mpya kwenye box lake na simu ni chache.
Kwa mawasiliano zaidi cheki PM, napatikana ubungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.