Used lumia 1320 kwa 450k
Used S5 zoom kwa 500k
New nokia 311 kwa 120k
Note:simu zimetumika kwa mda mfupi zipo kwenye clear condition nicheki whatsapp kwa mapicha namba 0718 097972 napatikana dar
Tunatafuta agents / resellers watakaotusaidia kuuza programu zetu (Bluelight Inventory na APOTEk Pharmacy Management System) katika mikoa yote ya Tanzania.
Bluelight Inventory ni programu ya...
Je una biashara au kampuni na unataka kutangaziwa bure kabisa kwenye tovuti ya kibiashara iliyosambaa Africa Mashariki.
Basi wasiliana nami(0719215909) kwa maelezo zaidi na jinsi...
Epuka gharama za kununua mziki mpya just for Bluetooth Playback Feature. Hii dongle inawezesha kifaa chochote kigeuka WIRELESS PLAYBACK DEVICE.So kama ni LAPTOP, SIMU AU IPOD etc inakuwa...
Habari wandugu?
natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo external, riverside au mabibo hostel. Chumba kiwe ndani ya geti, kiwe na maji na umeme na kisiwe mbali na kituo cha daladala. Mwenye...
make................. Toyota
model............... Brevis
year ................ 2005
displacement........... 2500 cc
mileage............... 75,300
gear shifting......... Auto...
Dear Friends in Arusha
Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada.
Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
Oriflame is booming in Tanzania. Are you in Arusha or Dar es salaam??? Use your mei mosi wisely. Learn something new. Its only Tsh 5,000
Let's share the experience on building a solid business...
Kama humu ndani kuna mafundi, naombeni mje PM mnipe bei zenu za kujenga nyumba; yaani kuanzia msingi hadi renta (invitation for bid). Nataka kujenga ya vyumba 5, kubwa ya kisasa.
Karibuni sana.
Nauza gari aina ni aud ya mwaka 2003 bei ni sh 13 milion tu..
Mtandao uko chini sana nimeshindwa upload picha tuwasiliane 0654715457 nikutumie picha na nikupatie full specfcation za gari yangu.
Habari
Tafadhali yeyote anayehitaji kuuza! Na kilicho ktk hali nzuri na kinafanya kazi,pia kiwe hakija wahi kupelekwa kwa fundi!
Bei tsh 55,000/ ! Niachie kwani nami nianzie maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.