Habari!
Natafuta gari ya kununua ya aina tajwa hapo juu bei tutazungumza.
Niko Mwanza hivyo Walioko Mwanza na maeneo jirani watapewa kipaumbele.
Angalizo; Gari iwe katika ubora na uzima wa...
Wana JF wenzangu, Natafuta engine iliyo katika ubora ya gari Toyota Starlet - Half Engine Corolla E5 kwa hapa Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali ani pm au anijuze kupitia 0689 101177 au 0757...
Tunatoa huduma ya kuandika Business Plan, Project Proposal, Katiba za NGOs na Makampuni.
Pia tunatoa ushauri jinsi ya kuanzisha Biashara, Kuanzisha Kampuni, Kuanzisha NGOs na mengine mengi.
Kwa...
Salaam wana jf
Kwa anayehitaji TV bora za kisasa aina mbali mbali zinapatikana kwa bei poa Kigamboni ilipo stand ya daladala ziendazo Kibada, Kongowe karibu sana na stand ya pikipiki kwenye frem...
Habari,
Ninaitaji chumba kimoja cha kupanga,napendelea maeneo yafuatayo tabata kimanga,bima,aroma,ubungo,mbezi beach,salasala,tegeta.NIPO TAYARI KULIPA KWA MIEZI MITATU KWA KUANZIA.BUDGET YANGU...
Wakuu Nina peving blocks za kijanja na bei nafuu pia cement blocks size zote
Kwa anayehitaji awasiliane nami kwa
0786582077
hmushi06@gmail.com
Niko Kaliua mkoani Tabora.........
Tunauza nguo za mitumba kwa bei ya jumla na rejareja, Nguo tunazouza ni Magauni ya wadada, wamama, top, blauz n.k
Magauni marefu kwa bei ya jumla ni 10,000/=, magauni mafupi 5000/=, top 4000/=...
Bought in the US, never used only tested once.
Compatible with rechargeable AA and AA NiMH batteries
Up to 8 hours charge time
Automatic shut off when charge is complete
LED charge status...
Nyumba inauzwa Nyakato National.
ina vyumba 4 vya ndan master 1 na vya kawaida
v3.dinning room na sitting room.
ina vyumba vi3 vya nje na bafu na choo cha nje.
iko karibu na s/m gedeli pia...
Iko bomba, nauza kwa kuwa nimepata new one. Specification hizi hapa:
Model: Hp pavillion dv6 6050ee.
Intel core i5 processor(2.30 ghz quad)..
4gb ddr3 memory..
500gb hard disk...
Mashamba yanapatikana Kijiji cha MwanzoMgumu, Kisarawe. Yapo ya ukubwa wa ekari 5, ekari 10 na la ekari 100.
Yapo mpakani mwa wilaya ya Kisarawe na wilaya ya Mkuranga karibu na mto mbezi. Yana...
Join the revolution of Mobile Website Development, enquire yours now, contact hello@webdesigner.co.tz
Google is no longer displaying any website which does not support Mobile Devices as of...
Salaam wana jf
Kwa anayehitaji TV bora za kisasa aina mbali mbali zinapatikana kwa bei poa Kigamboni ilipo stand ya daladala ziendazo Kibada, Kongowe karibu sana na stand ya pikipiki kwenye frem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.