Habari wana jf,mmi nimtafiti na mwandishi wa vitabu vya ujasiria Mali na inspiration books,je unafahamu kipaji cha mtoto wako?,na je unaamini kipaji cha mtoto wako kinaweza kumsaidia kumpatia kipato kikubwa?,kila mtoto mdogo ana ndoto je unaijua ndoto ya mtoto wako na je utaweza kumsaidia kutimiza ndoto zake?,Mimi nitakusaidia kutambua kipaji cha mtoto wako na kutimiza ndoto zake,kazi yangu nitakushauri namna ya kutimiza ndoto kubwa za mtoto wako!,kama unataka mtoto wako aje kuwa kiongozi mkubwa,serikalini au katika tasisi kubwa za kimataifa na mfanyabiashara mkubwa,mwanamichezo mkubwa au msanii mkubwa,nitafute niokoe ndoto za mtoto wako,nimewashasaidia vijana wengi sana kwa kupitia ushauri wangu wameweza kufanikiwa kufika mbali katika ndoto zao, sasa hivi najitolea kuwa saidia watoto kuanzia umri wa miaka 10 hadi 15,ninawashauri namna kuishi na kufanya Mambo ambayo yanaweza yakawasaidia kufikia malengo yao,nitafute mzazi nikushauri kutambua fursa zilizopo za kuendeleza vipaji na kutimiza ndoto za mtoto wako!