Mti wa mbao unauzwa Arusha

Mti wa mbao unauzwa Arusha

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
307
Reaction score
235
Wadau kuna mti mkubwa sana aina ya keleptas unauzwa maeneo ya sanawari bei utaongea na mzee ukifika. Ni mti unaoweza kutoa mbao nyingi sana za milango na furniture zingine za ndani. Kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200
 
Keleptas? au eucalyptus (msonobari) ?
 
Wadau mliopo arusha maeneo ya sanawari kwa wale mnaojenga au mnaofanya biashara ya kuuza mbao kuna mti aina ya keleptas unauzwa ni mkubwa mno na umekomaa ni mti mkubwa umeangushwa haujakatwa katwa bado hivyo unaweza kukata kwa size unayoitaka. Unaweza pia kutoa mbao nyingi sana za milango, frem, na furniture zote utakavyoona wewe mwenyewe. Bei yake ni shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000/=) ila inaweza pungua kidogo sana manake ni mti mkubwa mno. Kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200
 
Wadau mliopo Arusha maeneo ya Sanawari kwa wale mnaojenga au mnaofanya biashara ya kuuza mbao kuna mti aina ya keleptas unauzwa ni mkubwa mno na umekomaa ni mti mkubwa umeangushwa haujakatwa katwa bado hivyo unaweza kukata kwa size unayoitaka. Unaweza pia kutoa mbao nyingi sana za milango, frem, na furniture zote utakavyoona wewe mwenyewe. Bei yake ni shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000/=) ila inaweza pungua kidogo sana manake ni mti mkubwa mno.

Kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200
 
Wadau mliopo Arusha maeneo ya Sanawari.

Kwa wale mnaojenga au mnaofanya biashara ya kuuza mbao kuna mti aina ya keleptas unauzwa ni mkubwa mno na umekomaa ni mti mkubwa umeangushwa haujakatwa katwa bado hivyo unaweza kukata kwa size unayoitaka.

Unaweza pia kutoa mbao nyingi sana za milango, frem, na furniture zote utakavyoona wewe mwenyewe. Bei yake ni shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000/=) ila inaweza pungua kidogo sana manake ni mti mkubwa mno.

Kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200
 
Wadau mliopo Arusha maeneo ya Sanawari kwa wale mnaojenga au mnaofanya biashara ya kuuza mbao kuna mti aina ya keleptas unauzwa ni mkubwa mno na umekomaa ni mti mkubwa umeangushwa haujakatwa katwa bado hivyo unaweza kukata kwa size unayoitaka. Unaweza pia kutoa mbao nyingi sana za milango, frem, na furniture zote utakavyoona wewe mwenyewe. Bei yake ni shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000/=) ila inaweza pungua kidogo sana manake ni mti mkubwa mno.

Kwa maelezo zaidi piga namba 0787 356200

Gharama za kupasua nani atalipa?
 
Mungu wangu mti tuu hela yote hiyo? Sogea Manyara tuu mti elfu arobaini unatoa mbao zaidi ya 150 design unayotaka.
 
ndio maana nakuambia usiongee kabla hujachunguza kitu ulichoitiwa huo mti ni mkubwa sana na unaweza kutoa mbao zaidi ya 400 na kuendelea pia kuna magogo unaweza tumia kwa matumizi mengine ila kwa maelezo zaidi piga simu sio kutuma msg na pia garama ya kuchana mbao ni zako mwenyewe ndio maana nikaanzia bei hiyo
 
Mti wa mbao unauzwa - Arusha bei ni maelewano utakopauona.

Ni mti aina ya keleptas.

Piga namba 0787 356200 usitume msg kwani hamtaelewana vizuri.
 
Back
Top Bottom