mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Wakubwa shkamoon wadogo poa...
Mimi kwa sasa nimepanga maeneo ambayo kwa kweli sipapendi kwani kwanza nlipangia shida sasa nataka kuhama nihamie maeneo kama ubungo au tabata....
Kwa anaejua eneo lenye chumba kizuri kwa bei nzuri anitafute PM