Kiwanja kinauzwa chap chap

Kiwanja kinauzwa chap chap

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Kiwanja chenye ukubwa wa futi 50 kwa 40 kipo Msongola inauzwa kwa bei poa ya 2.2 million tu,Inauzwa bei rahisi kwa sb mwenyewe amepata matatizo.Kipo Msongola Ilala barabarani kabisa.

CONTACT 0717 288306
 
Kuna 1.5m cash kama yupo serious nicheki hapa 0787577755
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom