Wakuu,
Nataka kununua pikipiki, yangu tu ya kutembelea mjini na kuwahi shughuli zangu. Utotoni niliona pikipiki nzuri yaani zile zenye tairi la mbele limeinuka kuliko la nyuma.
Nadhani tulikuwa...
Rejea kichwa cha habari hapo juu;
pc inayohitajika iwe hp,acer au dell with
Ram not less than 6GB
Hard disk not less than 720GB
Processor intel core i5 with not less than 2.4GHZ
64bit
webcam...
Nyumba inavyumba vinne vya kulala ambapo moja ni Master Bedroom, Public toilet, Dinning room, Stoo, Jiko. Ukubwa wa kiwanja ni 30kwa25, Bei ni Milioni 30 top.
Kutoka Mbezi Mwisho yaani kituo...
Suzuki Carry (1996)
Registered end of July last Year 2014
Full insured and all permits
4WD
Manual
Kwenye rangi hapo pamefunikwa jina Computerized
Bei Tsh:7.5m
Jamani NAUZA laptop hp,ipo OK 40harddisk, memory card,battery inakaa &chaji masaa4,ram 250 ipo OK bei 270,000/=| pia NAUZA BLACKBERRY 9860 MPYA KABISA BEI 250,000/= MAONGEI YAPO KTK KILA BIASHARA...
Dell core i5,ram 4gb,hhd 320,dvd rw na bettery 3.5 ,haina webcam bei 430 na sony vaio core 2 duo,ram 4gb,hhd 320,dvd rw,webcam bettery 3.5 bei 450 no 0656461550
Hello guys msaada wa mawazo tafadhali
Kuna mtu ataka niuzia kiwanja maeneo ya Bunju, Size ya kiwanja ni Miguu 20*20, Bei ni Tshs 5,000,000
Is it reasonable?
Please advice
thanks in advance!
Gari iwe inatembea.
Iwe Dar.
Iwe aina yeyote hata beetle(VW).
Kama vibali vime -Expire no sweat.
Kama itahitaji marekebisho kidogo hamna noma.
Mnijuze ili tuweze ku takabali.
Alamsiki
Namshukuruni.
Natengeneza CCTV camera SECURITY SYSTEM pamoja na NETWORK mahara popo ulipo mimi napatikana geita kwa mawasiliano 0757308440 0757791369 karibu sana bei nafuu sana
Shamba linauzwa lipo chanika mwanzo mgumu dsm lina ukubwa wa ekari nne pia linaweza kutumika kwa makazi bei ni tsh 13ooooo kwa kila eka pungufu ya hapo utaongea kwa mawasiliano 0714621548...
Habari wanajamvi, nauza BlackBerry z10 yangu.
features
2g ram
16 gb internal storage
8mp camera.
unique keyboard (it can learn fast when you type )
black in mint condition.
can run both bb world...
Uuzwaji wa shamba eneo la ufukweni (beach area) NUNGE BAGAMOYO karibu na PALM TREE HOTEL Eneo lenye ukubwa wa hekari 7.85..
Bei ni 1.7B
Na maongezo yapo..
+255 713799522
Habari zenu wanajukwaa...
Nami ni mjasiriamali mwenzenu ninayefanya biashara mbalimbali hapa nchini kama vile agribusinesses,pia networking business pamoja na agricultural ila mnamo MWAKA jana...
GARI/BODI HILI LA NISSAN PATROL OLD MODEL..SHORT CHASIS;
BODI LA NISSAN PATROL SHORT CHASIS..OLD MODEL- BADO ZIMA KABISA
IMEWEKWA INJINI YA 3Y (YA KWENYE HIACE na GEARBOX YAKE...HAIJATUMIKA...
Kuna eneo la hekari nne lipo Mchikichini jirani na mwembe mdogo njia ya kwenda Kimbiji.
Ni kilometer kama 17 kutokea kigamboni na kilometer kama 1.5 kutoka katika magorofa yanayojengwa na NSSF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.