Ipo Fluke na inakuja na kit ya kukonect kwa laptop. Pamoja na CD yake nakebo na probes andàa laki 3. Kama upo tayari nije nayo( nipo NJE ya TZ now) nikifika unirudishie hela Yangu.) Pia inapima kapacita.coil na transistors.diodes na ICS)naulizoa bei ya multimeter inayopima mpaka frequency kwa mlipo dar ebu nijuzeni bei kama unayopia naweza kuinunua kama ina hali nzuri